Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MFAHAMU PACHA WA MADAME WEMA SEPETU KUTOKA NCHINI MAREKANI...!NI KK!

$
0
0

Kama ulikuwa unamfahamu mpenzi mpya wa Rapper Kanye West, ndiye huyu aitwaye Kim Kardashian, ni mmoja kati ya watu maarufu sana ambao vibemagazineTz research imefanywa na kuona kuwa wote kumbe wanafanana maisha yao katika mambo mengi sana, ingawa tofauti ni location waishizo, kwenye hili, utashangaa ni jinsi gani wanavyofanya yao kama vile wanaambizana na utagundua na kuona kuwa ni haki kabisa kuamini kuwa watu hawa wawili lao ni moja.



Wote wana mahusiano na wanamuziki maarufu.
Wema Sepetu akiwa yeye mwenyewe ni mtu maarufu teyari, haitoshi bado nayeye kufikia hatua ya kuzama katika penzi la mwana muziki maarufu East Africa na Africa kwa ujumla maarufu kama Diamond Platnum aka Dangote,huku nae Kim Kardashian yeye akiwa ndiye amefunga kazi na kutua moyo wake kwa rapper maarufu duniani, Kanye West.Kila mmoja anamiliki Reality Tv show.

Chakushangaza zaidi ukitaka kuamini kuwa, wawili hawa kweli lao moja ni hapa kwenye Reality Tvshow, Wema Sepetu anamiliki show inayokwenda hewani kwenye television ya hapa Tzee, kwenye show yake maarufu anayoiendesha mwenyewe iitwayo, In My Shoes, ikielezea maisha yake halisi ya kila siku, na matukio mbali mbali yamtokeayo.


Kwa upande wa Kim Kardashian naye ana Tvshow yake ila kwa huyu show hiyo inaendeshwa na mama yake mzazi, inayoelezea maisha ya familia yao na matukio mbali mabli yanayohusu familia nzima ya Kardashian, haswa yanayomhusu Kim.

Wote wana msukumo mkubwa kwa jamii.

Ukiongelea kuhusu Wema Sepetu hapa Tzee au East Africa hakuna mtu ambaye ni geni kwake jina hili, na inasemekana ni mmoja kati ya watu maarufu wenye msukumo mkubwa kwa jamii, kwa vile kila shabiki wa msanii huyu atataka kuiga kile Wema Sepetu afanyalo au kuvaa, huku Kim Kardashian ndo amezidi kuwa kama role model wa kila msichana anayekua kwa asilimia kubwa sana ya jamii nyingi duniani, kufuatilia ni nini amevaa, nk
Wawili hawa ni waigizaji maarufu.

Kama Dangote aka Diamond Platnumz waliweza kukaa chini na Kanye West, basi unaweza kuamini kuwa hapa kwa hili walipanga, cause Wema Sepetu na Kim Kardashian wote ni waigizaji maarufu, ila kwa upande wa Wema Sepetu ameweza kucheza movie nyingi zaidi yake Kim.Wote ni talk of the town na wanajiweza kifwedha.

Ukiongelea Wema Sepetu na Kim Kardashian, tukiongelea kwenye upande mzima wa urembo na jinsi walivyoumbika , unaweza kusema wamependelewa na kwa mwanaume wa kawaida, umwonapo mmoja wao bila hata yakugeuga mara tano hivi, hata kama upo na mamaa pembeni, basi ukapimwe hautakuwa mzima kabisa.Ukiachana na umaarufu wao wa hawa warembo wawili,ukiachana na utajiri mkubwa waliopata kutokana na kazi zao za kila siku, mbali na uigizaji na bishara nyingine nyingi wazifanyazo, honestly speaking, these ladies are loaded, kifamilia zaidi upande wote kwa Sepetu na Kardashian, na ni watu wenye majina makubwa sana, ukiongelea kati ya watu maarufu wanaojiweza kifwedha basi hawa nao wamo.

-Vibe Magazine

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>