Producer anayewani tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika sana.
C9 amewai kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine. Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram. chanzo bongoclan