BLOGU YA WANANCHI TUNATHIBITISHA KWA ASILIMIA MIA MOJA 100% KWAMBA HABARI HII SI YA KWELI NI UONGO NA UZUSHI ULIOTUNGWA NA MAADUI ZAKE RACHEL, INASIKITISHA SANA NA TUNAJIULIZA HIVI HII JAMII YA KITANZANIA NA MITANDAO TUNAENDA WAPI? MAANA HATUNA TUNAKOTOKA ILA NDIO TUMEANZA SASA NYUMBA YOYOTE DUNIANI UIMARA WAKE UNTAGEMEA MSINGI SASA KAMA KWELI HIVI NDIVYO TUNAVYOWEKA MSINGI WA MITANDAO KWA MIAKA 50 IJAYO ITAKUWAJE JAMANI? THIS IS VERY SAD STORY!! JAMANI HUKO MAMBELEZ HEBU BADILIKENI KIDOGO TULETEENI MAWAZO YA MAENDELEO SIO MAMBO YA KIZUSHI KAMA HAYA, WATU MPOA MAJUU SASA MUDA WA KUSHUKIANA MNAUTOA WAPI JAMANI?- LE MUTUZ SYSTEM