CCM MEATU YAZIDI KUJIIMARISHA
Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema Lugaila Madama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Mwandoya arudi CCMMiyeye Robert aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema...
View ArticleTASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA
Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.Wananchi...
View ArticleWACHEZAJI WA YANGA NA SABABU ZA KITOTO ZA KUSHINDWA KUIFUNGA SIMBA JUZI SOMA...
DUNIANI kuna mambo, kwani beki wa Yanga Mbuyu Twite amesema inawezekana mashabiki jukwaani waliokuwa wakifuatilia mechi yao dhidi ya Simba juzi Jumamosi waliona kila kitu kinaenda sawa kwao,lakini...
View ArticleKAMA ULIKUWA UNADHANI WASICHANA WA BONGO NI VICHECHE, BASI UTAKUWA ULIPOTEA...
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI
View ArticleLE BIG SHOW LIVE BACK TO YHE RIO GYM AT DOWNTOWN BONGO GOLDEN JUBILEE TOWERS...
Le Big Show at the Rio Gym mazoezi na le mbebez If U know what I mean!! macho yake ni balahaaaaahhaa!!le mkarezzzz!!NO PAIN NO GAIN!!
View ArticleBLOGU YA WANANCHI TUNASIKITIKA SANA KUHUSIANA NA HI HABARI AMBAYO...
BLOGU YA WANANCHI TUNATHIBITISHA KWA ASILIMIA MIA MOJA 100% KWAMBA HABARI HII SI YA KWELI NI UONGO NA UZUSHI ULIOTUNGWA NA MAADUI ZAKE RACHEL, INASIKITISHA SANA NA TUNAJIULIZA HIVI HII JAMII YA...
View ArticleAY WA MITEGO ALA UJANA NA WANYAMWEZI USIKU WA PASAKA JIONEE HAPA
Nay wa Mitego a.k.a True Boy, nguli wa mziki hivi sasa hapa Tanzania mwenye miondoko ya HipHop, usiku wa Pasaka alitimiza ndoto ya wengi waliokuwa na hamu ya kumuona akila ujana sawasawa katika himaya...
View ArticleBAADA YA KUA WACHUMBA KWA ZAIDI YA MIAKA 3 SASA JINI KABULA KUOLEWA NA...
2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda...
View ArticleMAJANGAZZ BINTI WA MIAKA 16 AELEZEA MAMBO MZITO KUHUSU FREEMASON
Binti Fauzia akiwa amepozi nyumbani kwao maeneo ya Kigogo jijini Dar es Salaam.Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo jijini Dar...
View ArticleCHIDDI BENZ ATUPWA POLISI BAADA YA KUMPIGA HUYU....ILIKUWA NI USIKU WA PASAKA
Aisha Sued anayedai kupigwa na Chidi BenzMwanadada Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper Chidi Benz...
View ArticleUKATILI MKUBWA: MASKINI MREMBO HUYU AJERUHIWA NA BOSI WAKE MPAKA KUZIMIA..
Mfanyakazi wa kike Eugenia John, anayefanya kazi katika duka linalouza vifaa vya simu Mtaa wa Aggrey, Kariakoo jijini Dar es Salaam anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa hadi kuzimia na bosi wake...
View ArticleDADA TIKO WA BONGO MOVIE AFUNGUKA KUHUSU MAPENZI NA MASLAHI...!
Msanii wa filamu za kibongo Tiko Hassan.MSANII wa flamu za Kibongo, Tiko Kulungu amewaasa wenzake kuwa waepuke tabia ya kubadili dini kwa kufuata maslahi ya kifedha. Akizungumza na Bongowood pasipo...
View ArticleUJUMBE MZITO NA MAALUMU KWA WAPENDA MICHEPUKO
Unapenda kuchepuka? Hatukukatazi, lakini tunakupa tahadhari, mchepuko unakuathiri wewe na taifa zima kuanzia sekunde unayoanza, kwa sababu itakupa ugonjwa, utaupeleka nyumbani,utamwambukiza mwenzako,...
View ArticleKASHFA NYINGINE KIA NA JNIA TZ: MWANAUME ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA...
Wiki iliyopita, mtu mmoja mwenye uraia wa Ghana kwa jina Boubacar Traore (42), alikamatwa na kilo 3.5 za heroin zenye dhamani ya dola za Kimarekani milioni 3 mara tuu baada ya kuwasili katika uwanja wa...
View ArticleANGALIA VIDEO GARI YA KWANZA DUNIANI YENYE UWEZO WA KUJIOSHA YENYEWE...ICHEKI...
Alhamisi ya wiki hii Kampuni ya magari ya Nissan imezindua gari jipya lenye uwezo wakipekee kabisa wa kujisafisha lenyewe na kuondoa kabisa uchafu wa aina yoyote ile kwenye gari hilo.Watengenezaji hawa...
View ArticleHOT PICHAZ KUTOKA WASHINGTON NAMNA MIAKA 50 YA MUUNGANO ILIVYOFANA,COMRADE...
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta...
View Article