Maji yenye sumu, kemikali na tindikali kutoka kwenye viwanda vya 21st Century cha nguo, Morogoro Canvanse na kiwanda cha Magunia Morogoro yakitiririka kuelekea mtoni baada ya viwanda hivyo kushindwa kuzingatia masharti ya kusafisha maji hayo kabla ya kuyaelekeza mtoni. Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Desemba 7, 2013.(Picha na Ofisi aWaziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda , Viongozi wa Baraza la Mazingiea nchini, NEMC na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakitazama maji yenye sumu, kemikali na tindikali yaliyoekekezwa mtoni yakitoka kwenye viwanda vya 21st Century cha nguo, Morogoro Canvanse na kiwanda cha magunia cha Morogoro wakati alipotembela eneo Kihonda mbuyuni kukagua athari za maji hayo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)