@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- 4 GREAT FRIENDS IN MY BONGO LIFE THIS GUYS PLAYED A SPECIAL ROLE IN MY LIFE NA KUNIFANYA NIFAHAMIKE KWA KASI SANA KULIKO KAWAIDA, KUGAHAMIKA SANA I AS I AM NOW INA FAIDA NA HASARA ZAKE, LAKINI I LOVE THE FAIDA ZAIDI KWA SABABU NI TOO BIG MPAKA THEY COVER HASARA ZISIONEKANE KABISA!! - SO LOVE U GUYS WOTE MNANIDAI BIG TIME I PRAY TO MY GOD KWAMBA ONE DAY I WOULD BE ABLE TO REPAY WEMA NA UKARIMU WENU, KWENYE MAISHA KUNAKUWAGA NA MARAFIKI WANAOWAZIDI HATA NDUGU ZAKO WA DAMU LIKE HAWA 4 TO ME, MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!! - LE MUTUZ