Nay wa Mitego a.k.a True Boy, nguli wa mziki hivi sasa hapa Tanzania mwenye miondoko ya HipHop, usiku wa Pasaka alitimiza ndoto ya wengi waliokuwa na hamu ya kumuona akila ujana sawasawa katika himaya ya wanyamwezi mjini Tabora.. Amezidi kudhihirisha umahiri wake kwa vibao vikali kabisa kama "salamu zao" Muziki gani""Nakula Ujana" ambavyo viliwapagawisha mashabiki waliojitokeza katika show hiyo.
Stone wa Kitaa, wakiwakilisha vyema "The Apex" kundi la muziki la mkoani
Picha zote na aloyson.com