












Miaka 50 ya Muungano hapa Washington Dc Zimefunguliwa rasmi,Kulia Kwake ni Balozi Libereta Mulamula na Kulia Kwake ni Waziri anayeshughulikia Muungano-Zanzibar Mh:Mwinyihaji Makame.









I love Tanzania,Bibi huyu wa Kizungu alipata Kuishi Tanzania na Kufanikiwa Kupandisha Sehemu ya Mlima Kilimanjaro,Hapa anahamasisha Watu Kupanda Mlima Kilimanjar.
















































Picha/Maelezo na Sanga Festo-Washington DC
26/04/2014