Zamaradi mketema, she is artist pia ni mtangazaji wa kipindi cha take one and action kinachorushwa kupotia runinga vlouds tv ambacho kinazungumzia uhalisia wa filamu za kibongo, so zamaradi mkitema kama ilivyokuwa ada kama mwandishi basi aliamua kumuita kajala na mtoto wake paulet lwa ajili ya kufanya nao interview
.
.
Katika interview hiyo zamaradi alimuhoji paulet mtoto wa kajala kuhusiana na ugomvi wa mama yake na wema yeye anajiskiaje? So paulete akafunguka ya rohoni kuwa anajiskia vibaya na anampenda sana aunt yake wema, n anatamani waendelee tena na urafiki na mama yake. So guys kwa swala hilo la zamaradimketema kuwafanyia interview kajala na mwanae, tema wema wamechukia na kuanza kumporomoshea matusi zamaradi wakidai eti ametumwa na kajala ili amfanyie interview. But mtandao wa makubwa haya umefanya uchunguzi na ukagundua kuwa zamaradi alifanya hivyo akiwa kama muendeshaji wa kipindi na kutaka kuwafahamisha jamii kuhusiana na maisja ya kajala na mtoto wake.