Baada ya picha za RiRi kusambaa akionekana mtupu kabisa kwa ajili ya kuonekana kwenye jarida hili la Ufaransa liitwalo Lui niliona comments nyingi zikiwemo za mashabiki zake ambao walitangaza kujiondoa kwenye list ya mashabiki wa mrembo huyu kuanzia siku hiyo kutokana na hizo picha.
Pamoja na hayo yote, unaambiwa hii ni mara ya pili ndani ya mwezi huu kwa Rihanna kutokea kwenye jarida akiwa hivi ambapo mastaa wengi wa dunia hupokea pesa nyingi sana kwa kazi kama hii tena hasahasa kutokana na aina ya picha lakini ukubwa wa jina la staa mwenyewe.
Kwa sababu za kimaadili maziwa ya Rihanna yamezibwa kwenye hii picha lakini kwenye jarida lenyewe yako wazi na tayari jarida limeingia mtaani likiwa na hizi picha alizozipiga wiki kadhaa zilizopita.