MADRID YASHINDA 4-0 UGENINI, YAIVUA UBINGWA BAYERN YA GUARDIOLA
Real Madrid imeivua rasmi ubingwa Bayern Munich na kufanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ndani ya miaka 12.Madrid imeshinda mabao 4-0 katika mechi yake ya pili ya nusu fainali ya Ligi ya...
View ArticleLile Jarida la zile picha za Rihanna ndio limetoka kinamna hii.
Baada ya picha za RiRi kusambaa akionekana mtupu kabisa kwa ajili ya kuonekana kwenye jarida hili la Ufaransa liitwalo Lui niliona comments nyingi zikiwemo za mashabiki zake ambao walitangaza kujiondoa...
View ArticleMAMA AWAUA WANAWE 3 WALEMAVU
Baba ya watoto hawa alikuwa safarini nchini Afrika Kusini wakati mauaji yalipofanyikaMama anayetuhumiwa kwa mauaji ya watoto wake watatu nchini Uingereza amewekwa rumande kwa ukaguzi wa kiakili kubaini...
View ArticleMR BLUE: WEMA, NAJMA WALINIFILISI
NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na...
View ArticleHURUMA HUYU NDO MTOTO WA MAAJABU ALIYE ZALIWA
Mtoto wa majabu azaliwa nchini cameroon, amezaliwa akiwa na jicho moja ndani ya hilo jocho kuna macho mawili, pia amezaliwa akiwa hana pua wala mdomo na amezaliwa na jinisia mbili.Naalipo zaliwa tu...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO WEDNESDAY /JUMATANO 30/4/2014 LIVE!!
..............................
View ArticleMAJANGA!!..BATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS
HABARI za motomoto kutoka vyanzo vya uhakika, zinasema kuwa staa wa kike anayekuja juu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameitikisa ndoa ya mwigizaji mwenzake, Nice...
View ArticleBANZA ARUDIA MITUNGI
STAA mkubwa wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza stone’ ambaye anasifika kwa ulevi wa kupindukia na hivi karibuni aliripotiwa kuacha, inadaiwa amerejea tena, safari hii kwa kiwango cha...
View ArticleAINA SITA ZA VITAMBI...JE WEWE CHAKO NI KIPI KATI YA HIVI?
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kamaherufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia zaofa.3....
View ArticleTAARIFA YA MWANAUME TAPELI HAPA BONGO LIVE FROM RACHEL TEMU ONA HAPA!!
News FeedRachel A. Temu9 hrs · Hello wanazuoni wa Face Book kuna kijana mjini hapa Dar Es Salaam anajiita Moses, jina la mwisho sijalipata vizuri mwenye namba ya simu 255 787 762168. Anadai anafanya...
View ArticleMTU AONEKANA KATIKA SAYARI YA MARS
Wanasayasi wanadai kuwa kitu hicho kinachoonekana kama mtu aliyekaa katika jiwe, mpaka leo haijajulikana kuwa ni kweli au uongo.Picha zaidi bofya hapa>>>>
View ArticleMAAJABU YA MUNGU MWILI MMOJA VICHWA VIWILI.
Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI. Mapacha hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo...
View ArticleMCHINA AJINYONGA BAADA YA KUBORONGA UJENZI WA DARAJA MKOANI MOROGORO
Raia mmoja wa China ambaye ni mhandisi katika Kampuni ya Ujenzi ya China Railway Bureu 15 Group inayojenga Daraja la Mto Kilombero, Qin Bao Feng amekufa kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni baada ya...
View ArticleTANGAZO MAALUM RIO GYM FROM MODDY BAWAZIRI SOMA HAPA LIVE!!
Moddy Bawazir2 hours agoFriends kwa anayetaka kujiunga kufanya mazoezi ktk Rio gym iliyopo Golden Jubilee tower (Ohio street) yenye Swimming pool inayotazama Indian Ocean toka 5 floor pls tuwasiliane...
View ArticleMAJAMBAZI YAUA ASKARI POLISI WAWILI KWA RISASI
Baadhi ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi namba moja aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa ya Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa...
View ArticleBASI LA AM COACH LAPATA AJALI ENEO LA IPULI NA KUSABASHA KIFO CHA MWANAFUNZI...
Askari Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo lilikuwa likitokea jijini Mwanza,katika ajali hiyo watu...
View Article