ukweli ni kwamba washabiki wengi na vijana wakiume huwa wanakuwa na ndoto za kuwa mastaa, na kutembea na mastaa wakubwa basi
ilimradi na wao wapate upenye wa kujulikana kwenye jamii, basi blog makubwa haya leo tumejaribu kuwaletee muonekano wa jackline wolper kwa aina nyingine ilimradi na nyie mumuone hata kwa picha, coz wengine wanakuwa mikoani na pengine wengine