$ 0 0 Kumbukumbu, Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York, Marekani 1994. Kutoka kushoto: Balozi wa kudumu Daudi Mwakawago, Naibu Balozi wa Kudumu Ulli Mwambulukutu na Mkuu wa Utawala Geoffrey Nkurlu.