WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA RASMI KUWA KWA JUKWAA...
Inawezekana uliwahi waona kwenye matamasha mbalimbali Wema Sepetu na Diamond wakiwa pamoja lakini hua inakua kama ‘Sapraiz’ ili pengine kuleta hamasa kwa mashabiki wao,sasa rasmi hii ni show ya kwanza...
View ArticleDR. ELIZABETH LEMA ATOA DARASA LA BURE KWA WANANCHI KUHUSU NGOZI ZETU BINADAM...
Ngozi ni organ. Ngozi ni organ kubwa katika mwili wa mwanadamu.1.   Inatulinda2.   Ni kifuniko cha mwili,Pamoja na kutulinda na kutufunika, pia ngozi Inatulinda na chembe chembe hatari zitokanazo na...
View ArticleTHE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA LE BIG SHOW GETTING DOWN ON THE...
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-UKIMSAMEHE MTU HAINA MAANA NI LAZIMA SASA USHIRIKIANE NAYE NO WAY, UMEMSAMEHE KWA SABABU UMEGUNDUA UPUNGUFU WAKE NA UMEUPIMA UKAONA HUNA UWEZO WA KUENDELEA KUISHI NAO...
View ArticleFIELD MARSHALL MWIGULU NCHEMBA ALIPOKUTANA NA LE MBEBEZ MUKAREEZ KULIKO WOTE...
My People Naibu Waziri wa Fedha Field Marshall Mwigulu Nchemba with Missy Temeke!!
View ArticleMJUE MFANYAKAZI BORA WA PPF LEO ALIPOKABIDHIWA CHEK YAKE NA RAIS JK LIVE!!
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa maadhimisho ya siku ya...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- SHEREHE ZA WAFANYAKAZI LEO ZAINGIA SURA NYINGINE BAADA YA...
 Baadhi ya jamaa aliyoambatana nao wakimwangalia mara baada ya kufikishwa chumba cha huduma ya kwanza.Akiingizwa kwenye gari la wagonjwa tayari kwa kupelekwa hospitali kwa hatua zaidiAkiingizwa kwenye...
View ArticlePICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA WIMBO WA WEUSI "GERE" JANA APAKUTOSHAZZZ AT...
Jana (April 30), Kampuni ya Weusi ilizindua rasmi video ya wimbo wao ‘Gere’ pale Mediteraneo Hotel, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu wengi maarufu na mashabiki.Uzinduzi huo ulifunguliwa kwa Live...
View ArticleUJUMBE WA SOMO LA MAMBELEZZZ FROM FELIX ONA YALIYOMSIBU LIVE!!
Felix Maganjila5 hrs· Minato-ku, Japan·":Nina siku ya nne tangu nifike hapa Tokyo. Baada ya kuwasili hotelini Hali ilibadilika sana. Nikawa najisikia maumivu makali mwilini na homa kali sana. Nikaenda...
View ArticleWAMACHINGA WAPAMBANA NA POLISI KARIAKOO
Jeshi la Polisi limelazimika  kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Soko Kuu la Kariakoo.Hamisha hamisha hiyo yenye baraka za uongozi wa mkoa zilianza...
View ArticleCLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA...
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bwana Joseph Kusaga.Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE)....
View ArticleSUPER STAR WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATZNUM MAPENZI YAMEKUWA MAPENZI U KNOW...
Makonde Beach Mtwara...
View ArticleTASWIRA YA KIVUMBI CHA KESHO MLIMANI CITY NA KILI AWARDS SHOW ITAKUWA NI...
Siku ya Jumamosi Mei 3 itakuwa kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 kwa kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji muziki waliofanya vizuri mwaka 2013. Haya ni maandalizi ya...
View ArticleSTRESS FREE LIVE FROM SINTAH JLO WA BONGO & UGLY UNFILTERED COMMENTS LIVE!!
WE CALL IT L.O.V.E Posted by CEO Sintah (Unstoppable)mbeba boxMay 2, 2014 at 7:22 AMmhh hakuna cha ajabu hapo, Diamond ukija Houston mwisho wa mwezi shosti yangu mzungu amejitolea umuonje upate ladha...
View ArticleSALUTE TO MY SUPER FRIEND AND A BROTHER JOE KUSSAGA FOR THE MILESTONE REACHED...
Mkurugenzi wa Clouds Media Groups leo baada ya kuhitimisha the impossible yaani baada ya kupata leseni ya kurusha matangazo ya Clouds TV from Dubai Station, that is wasap maan! SALUTE!!WITH JOE 1990...
View ArticleKUMBU KUMBU FROM MAFAILI YA UMOJA WA MATAIFA MAREHEMU BALOZI MWAKAWAGO +...
Kumbukumbu, Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York, Marekani 1994. Kutoka kushoto: Balozi wa kudumu Daudi Mwakawago, Naibu Balozi wa Kudumu Ulli Mwambulukutu na Mkuu wa Utawala Geoffrey...
View Article