Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi wake ..Amasema Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na Hatimae ameipata....
Swali:
- Je huko Nyuma ni Kweli watu walikuwa wanabaniwa Tuzo ?
- Je Utaratibu Mpya wa Kill Awards kupata washindi ni wa Uwazi zaidi ?