LIVEEE KUTOKA DODOMA MAPOKEZI YA RIDHIWANI KIKWETE NA MGIMWA CCM MAKAO MAKUU
Makamu Mwenyekiti CCM-Taifa Philip Mangula akibadilishana Mawazo na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Chalinze Mh:Ridhiwani Kikwete hii leo wakati wa hafla Fupi ya Kuwapokea...
View ArticleFID Q "NILISTAHILI KUSHINDA TUZO YA KILL, KILA MTU AMEFURAHI BAADA YA...
Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi...
View ArticleMWANAMKE HIZI NI AINA 10 ZA WANAUME AMBAO UNATAKIWA KUEPUKA KUWA NAO KATIKA...
1. Mwanaume Kicheche:Hakuna mwanamke anayependa kuchezewa na wanaume, labda tu kama anafanya hivyo katika juhudi zake za kujikwamua kiuchumi, lakini pale mwanamke anapokuwa katika harakati za kutafuta...
View ArticleFID Q SINA BIFU LOLOTE NA WEUSI
Hii inahusisha show iliyofanyika Maisha Club Dar May 4 2014 usiku ambayo Adam Mchomvu ndio alikua mwenye show pamoja na kuzindua video yake mpya ya ‘au sio’ kisha Fid Q ndio akawa MC.Miongoni mwa watu...
View ArticleAIBU KWA TAIFA JIONEE BAADHI YA WANAFUNZI WA SEKONDAR WALIVYO KWENYE MAPOZ YA...
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za...
View ArticleNEWZZZ!!VIDEO HII HAPA YA FIELD MARSHAL MWIGULU NCHEMBA AKIWAVUA NGUO UKAWAZ...
Ameyasema haya Wakati wa Hafla Fupi iliyofanyika CCM-Makao Makuu Dodoma kuwakaribisha Wabunge Wapya Kutoka Jimbo la Kalenga Mh:Godfrey Mgimwa na Jimbo la Chalinze Mh:Ridhiwani Kikwete leo Tar.06/05/2014,a
View ArticleMSANII WA KIKE WA BONGOMOVIE AFUMANIWA MME WA MTU GUEST...NI AIBU....JIONEE...
Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita...
View ArticleTUHUMZA ZA USAGAJI ZAAANZA KUMTESA SUPER STAR WA BONGO MUVI WOLPER SOMA HAPA...
MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka na kudai kwamba amechoka...
View ArticleSHIKAMOO MKOROGO NA CAMERA 360..!! MTAZAME Dvj PENNY ALIVYOKUWA ENZI HIZOO,...
Katika Picha Hizi Hpo Chini zinamuonyesha aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz Dvj Penny alivyokuwa miaka hiyo kabla mkorogo na Camera 360 hazijaingia tz, Katika picha hizo zinamuonyesha Dvj Penny...
View ArticleHATIMAYE PRODUCER WA WIMBO WA DIAMOND MY NUMBER 1 ALIA NA WAANDAJI WA KTMA...
Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo ya Producer Bora...
View ArticleMABINTI WAUZA NGONO BUSTANINI KWA SHILINGI 2,000/= HUKO TANGA
BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za...
View ArticleWATAALAM WA MUZIKI WANASEMA, ENDAPO DIAMOND PLATNUMZ ASINGEFANYA HAYA BASI...
Una habari kuwa kuna sababu zilizompelekea diamond kuzidi ku-make headlines siku hadi siku?, kama ilivyo kwa msanii yeyote yule mwenye mafanikio duniani, kuna ishu mbili tatu zilizowahi kumtokea katika...
View ArticleHATARI SANA: MENEJA WA WEMA SEPETU ALIVYOJIBU VIJEMBE VYA MPOKI...
Meneja wa Muigizaji maarufu wa Bongo Movie Wema sepetu amewaacha midomo wazi watu waliokuwa wamehudhuria Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro katika ukumbi wa mlimani City jana baada ya kupaniki na kujikuta...
View ArticleMH SUGU NA WENZAKE WAPEWA MAKAVU LIVE NA MDADA MBONI MHITA...
KATIKA kujitanua na kuwafikia wananchi wengi kwa wakati mmoja, vyama mbalimbali vya siasa nchini, vimekuwa na mgawanyo wa jumuiya zenye lengo la kugawa makundi mbalimbali kwenye jamii. Makamu...
View ArticleGONJWA HATARI LATIKISA JIJI LA DAR, MWANAMUZIKI RAY C AKUMBWA NA GONJWA HILO
Ugonjwa wa homa ya dengue umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na sasa umeathiri wilaya zake tatu na kuzua hofu kwa wananchi.Miongoni mwa walioathiriwa na homa hiyo ni mwanamuziki maarufu Rehema...
View ArticleMAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA
Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ!!:- HATIMAYE MBEBEZ MUKHAREEZZZ KULIKO WOTE MBELEZZZ DMV/USA...
Missy Temeke Mkurugenzi wa KWETU Fashions hatimaye amefunguka kutokana na maoni ya watu waliopinga tangazo lake la kwamba amealikwa kwenye maonyesho ya tamaduni yanayofanywa na Balozi mbalimbali...
View ArticleLE MBEBEZ MOUKHAREEZZZZ KULIKO WOTE MBELEZZZ DMV/USA SASA NI MOTO! FIRE!...
Kushoto Shamis Alkhatry,Katibu Zanzibar Diaspora akifuatiwa na Mwenyekiti wake Omar Ally.Mwenye tai nyekundu Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa,Naibu Mwakilishi wetu wa kudumu Umoja wa Mataifa,anafuatia...
View Article