@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:- PEOPLE JAMANI USTAARABU HAUNUNULIWI DUKANI HUWEZI KWENDA OFISINI KWA MTU BILA KUPIGA SIMU KWANZA PLEASE! PLEASE! IT IS A NO! NO! NO! IN LIFE
HATA KAMA MIMI NI NDUGU YAKO AU RAFIKI YAKO AU WEWE NI MBEBEZ WANGU OFISINI NI MAHALI PA BUSINESS HUWEZI KUKURUPUKA TU UKAJA, KAMA HUELEWI HILO JIFUNZE SASA U KNOW!!
- TUWACHE MAMBO YA USWAHILI SWAHILI PEOPLE LETS BE SERIOUS KUJA KWAKO AS A SUPRISE HAKUWEZI KUBADILI ANYTHING ZAIDI TU YA KUTAFUTANA LAWAMA YAANI UNATAKA UANZE KUNITAFUTIA MANENO YA KISWAHILI YA UNAJUA ANARINGA SANA SIKU HIZI NGOJA TUMUONE KAMA HAKUSHUKA!! PLEASE WACHA HAYA, KAMA UNA SHIDA SEMA KWENYE SIMU, HAPA NI BIASHARA TU HATUNA LONGO LONGO TUONANE MTAANI SIO HAPA KWENYE BUSINESS YAANI KILA TUNAVYOPIGANA NA UMASIKINI KUNA WANAOTAKA UBAKI MASIKINI TU JAMANI LETS CHANGE THIS IS 2014!1, JIONI NJEMA SANA PEOPLE!! - LE MUTUZ

- Sunday Kiluwa, Ayoub Yusuph-Mwanaharakati, Abdi-Karim Mzungu and 2256 others like this.
- Sek Davidhehehehhee safiiiii umenenaaa
- Suzana Richardkweli ww mzungu mweusi.
- Sunday MwingaThat's true brother
- Sarha Mkudenikumbushe jina la huyo dada, surayake sio ngeni
- Mary Rose Robbyfungukaaaaa makavu laive ze mutuz
- Sunday Kiluwakweli kabisa