Msanii Pekee katika Tuzo za Kora kwa Mwaka huu Kutoka Tanzania Ameweza kuwa katika nafasi nzuri katika Week ya 17 kwa Kushika namba Moja katika Top 20 ya chart za KORA.
Hii haitoshi Ukiwa kama Mtanzania Tuungane wote kwa Pamoja Kuendelea Kumpigia Kura Msanii wetu pekee kutoka Tanzania Diamond Platnumz hatimae Aibuke Mshindi katika Tuzo hizo.
Unachotakiwa Ni Ku like Page ya Kora ( KORA AWARDS )na Ku comment jina LaDiamond Platnumz, Usiongeze neno jingine ili kura yako isiharibike.
Tuungane kwa Pamoja Ilikuleta Heshima kwa wasanii wa Nyumbani