UTABIRI MPYA: WABUNGE KUPOTEZA KAZI, VIONGOZI KUFA
Mtabiri maarufu Bongo, Alhaji Maalim Hassan Yahya Hussein. Wakati Bunge la Bajeti 2014/15 likiendelea mjini Dodoma na hivi karibuni viongozi wa dini kutoa ufafanuzi wa kuonekana kwa mwezi mwekundu na...
View ArticleUCHAFU WA WASANII WAKE ZA WATU BONGO MOVIES UMEZIDI...KOLETA AWAPA MAKAVU...
Staa wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’.STAA wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amewashukia waigizaji wenzake ambao ni wake za watu na kudai kuwa wanaichafua sanaa hiyo kwa kujirahisisha...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ SASA AONGOZA KWENYE TOP 20 ZA KORA, ENDELEA KUMPIGIA KURA
Msanii Pekee katika Tuzo za Kora kwa Mwaka huu Kutoka Tanzania Ameweza kuwa katika nafasi nzuri katika Week ya 17 kwa Kushika namba Moja katika Top 20 ya chart za KORA.Hii haitoshi Ukiwa kama Mtanzania...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM TAIFA KINANA AWASILI TABORA SASA HIVI KUANZA ZIARA YA SIKU...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye kijiji cha Makomero wilaya ya Igunga kwa ziara ya siku 10 mkoani Tabora ambapo atakagua miradi ya maendeleo ikiwa pamoja na kukagua...
View ArticleANGALIA NYATI AKIPAMBANA NA SIMBA KUJIOKOA
Kundi la Simba likielekea katika mawindo yake baada ya kuona kundi la Nyati. Simba wakianza kujipanga kwaajili ya mashambulizi katika kundi la Nyati 6 walio waona.Nyati huyu ndio aliingia katika mtego...
View ArticleKANYE NA MKEWE KIM KARDASHIAN ILIYOWASHANGAZA MTANDAONI...
Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na picha hizi zilizokuwa released hivi karibuni na magazeti ya udaku...
View ArticleVIONGOZI JIFUNZENI KUTOKA KWA WANANCHI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko. Katibu wa NEC...
View ArticleKUMBE YULE ASKARI ALIYETIWA MATATANI KENYA KWA KUVAA NGUO YA AJABU NI TABIA...
Askari polisi wa usalama barabarani wa kituo cha polisi kiambu, Linda Okelo ameitwa na kupewa onyo la mwisho na kaimu kamanda wa polisi James Mugeria kwa picha iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha...
View ArticleENDLESS FAME FILMS WATOA KAULI KUHUSIANA NA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA P
“Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Kajala Masanja.Maneja wa kampuni hiyo,...
View ArticleMAMBO YOTE HADHARANI: KAJALA SASA KWISHA KAZI....ATAFUTE MLANGO WA KUTOKEA.
Wema Sepetu.Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja...
View ArticleMAIMARTHA ATUHUMIWA KUWAUZIA MASTAA DAWA ZA KUKUZA MAKALIO
MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa sosi wa kuaminika, zinasema...
View ArticleBOB JUNIOR AKANUSHA TETESI ZA GAZETI LA UDAKU KUWA AMEMLOGA...
Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa anamloga Diamond. Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki...
View ArticleSHAA, MKALI WA "SUGUA GAGA " AFUNGUKA KUHUSU SIRI YA UZURI WAKE NA MAMBO...
4. Muonekano gani wa mavazi unautamani kuujaribu?Natamani sana kujaribu muuonekano wa gosick fashion mara nyingi wanavaa sana Rock stars wa Marekani utamkuta kavaa full black from top to bottom.5....
View ArticleJAQUELINE WOLPER AONGELEA KUHUSU KUBADILI DINI, KUACHANA NA USAGAJI
Ni muda mrefu kidogo baada mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs,...
View ArticleUFUSKA BONGO MOVIE WAMKOSESHA DILI NORA
MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.Msanii...
View ArticleWEMA ANASA USHAHIDI KAJALA KUMUIBIA BWANA’KE,
Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia...
View ArticleBABA KANUMBA AMSHUSHIA LAWAMA MAMA KANUMBA
BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amemshutumu mzazi mwenziye, Flora Mtegoha, kuwa amekuwa na tabia endelevu ya kumtenga kwenye shughuli za mwanaye.Mama wa marehemu Steven Kanumba,...
View Article