Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAJANGAZZ DEREVA AFIA GESTI SINGIDA

$
0
0

DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi na mwanamke mhudumu wa baa kwenye nyumba ya kulala wageni.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela amesema tukio hilo limetokea mei tatu mwaka huu saa nane za usiku chumba no.S.2 nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life New Kiomboi mjini.
Kamanda huyo amesema siku ya tukio kuwa dereva Juma aliondoka nyumbani kwake mida ya saa sita za usiku alimwaga mpangaji wake kuwa anatoka mara moja na hatachelewa kurudi nyumbani kwa hiyo alifunga mlango wa mbele ya nyumba.

Amesema kuwa masaa mawili baadaye Juma alionekana akiwa baa iliyoko kwenye nyumba hiyo la kulala wageni iliyoko umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake.inaendelea >>>>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>