NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA
BAADA ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’...
View ArticleLE MUTUZ LIVE WITH MBEBS MKAREZZ HAMISA LIVE AT MISS IFM 2014.
With Super Star Model & Actress Hamisa Mobeto live at Miss IFM at downtown bongo!
View ArticleNI ZAIDI YA LAANA, MFANYA BIASHARA MAARUFU AFUMANIWA AKIMRA URODA (KUMLAWITI)...
OFM walivyomnasa mfanyabiashara wa magari (kushoto) chumbani akitaka kumlawiti modo maarufu.EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya...
View ArticleMAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI) YAZIDI KUSHIKA KASI KWA WANAWAKE WA...
DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya kung’ang’aniwa na mwanamke mwenzake aliyedaiwa kutaka kumshawishi afanye naye mapenzi ya jinsi moja...
View ArticleSTEVE NYERERE AMUONYA WEMA SEPETU
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi.Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- MOTO MKALI UMEZUKA KARIAKOO LIVE!!
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto..
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA...
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika...
View ArticleKINANA AHUTUBIA NZEGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nzega njini kwenye mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Parking hapo Nzega ambapo aliitaka serikali kupunguza vikwazo na maamuzi...
View ArticleANGALIA PICHA KIJANA AKUTWA AMEJERUHIWA VIBAYA KIMARA JIJINI DAR
Kijana alivyokutwa eneo la Kimara-Mwisho akiwa amejeruhiwa vibaya.Akipelekwa kwenye gari la polisi..Akiwa kwenye gari la polisi kupelekwa hospitali. KIJANA ambaye hakufahamika jina lake mara moja...
View ArticleMAJANGAZZ DEREVA AFIA GESTI SINGIDA
DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi na mwanamke mhudumu wa baa kwenye nyumba ya kulala wageni.Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa...
View ArticleSKENDO YA USAGAJI: BINTI WA 1992 AKILI KUA NA MAHUSIANO NA MASTAA 2 TOFAUTI
“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti...
View ArticleHAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUAA...HII HAPA MUPYA KUHUSU NDOA YA BABAY MADAHA NA...
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha.MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini...
View ArticleMASTER J ASHAURIWA NA MAMA YAKE KUMTAMBULISHA RASMI SHAA KAMA MPENZI WAKE
Ni miaka mingi sasa imepita toka ifahamike kuwa CEO wa MJ Records Joachim Kimaryo aka Master J na mwimbaji Sarah Kaisi aka Shaa ni wapenzi, kiasi mpaka sasa hata wanapoulizwa kwenye interviews na...
View Article