Wema & Kajala enzi zao |
Baada ya mambo na thuhuma juu ya Kajala kuwa nyingi, matusi kuongezega na watu wengi wengine kuanza kuhusishwa kwenye so called beef la Wema na Kajala huko Instagram, hatimaye Manger wa Wema ame amua kufunguka kama ifuatavyo.
This is sad I just hope haya mambo yatakuja kuisha na watu wabakie na amani even kama hawata kuwa marafiki tena but amani itawale.