Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MWANAMKE ACHOMWAMOTO NA TAIRI MPAKA KUFA

$
0
0
Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana. 
Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto.
Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga na hatimaye kumchoma moto hadi akafa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>