Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACK WOLPER: SIJAWAHI KULIA KWA KUACHWA ( KUPIGWA KIBUTI )

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline WolperAkizungumza na mwanahabari wetu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JB : MAJUNGU YANANITESA KILA KUKICHA

BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka.BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’Akistorisha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY /ALHAMISI 15/05/2014 LIVE!!

 BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ACHOMWAMOTO NA TAIRI MPAKA KUFA

Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana. Mwanamke huyu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAHABA WAJIUZA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM..NA HIZI NDIO SEHEMU...

wadau karibuni hapa ndo BUGURUNI....KIMBOKA ...hapa bwana watoto wa hapa demu unampa buku 3000 na guest unalipa 2000 hii ni show time unapiga kimoja na kuandoka...ukitaka kulala nae maelewano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUHARAMISHWA MIRUNGI UINGEREZA NI PIGO KWA KENYA

Wabunge kutoka eneo linalokuza mmea wa Khat au Miraa la Meru mashariki ya Kenya wametishia kuwasilisha mswada bungeni kulazimisha serikali kuwafukuza wakulima waingereza wanaoishi katika eneo hilo.Hii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY NA CHUCHU WAPEWA MAKAVU LIVE INSTAGRAM..NI SHEEEDA AISEEE...!

 Account Maarufu ya Ukwelinauwazi kutoka Insta week hii imemlipua Ray na Kipenzi chake Chuchu Hans ..Jisomee Mwenyewe Hapo chini :

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MUPYA TOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ..SOMA ZAIDI HAPA...!

Selfie aliyoipost Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram huenda ikategeua kitendawili cha ni wimbo upi staa huyo ameenda kushoot video yake nchini Uingereza.  Iyanya (wa kwanza kushoto) Diamond, Babu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS UHURU KENYATTA WA KENYA NA SAFARI ZA NJE YA NCHI SOMA HABARI KAMILI HAPA...

PRESIDENT Uhuru Kenyatta has spent the equivalent of two-and-a-half months out of the country in the last one year since he assumed office in April 2013. The President has made 28 foreign trips, a...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MUTUZ LIVE AT THE DOUBLE TREE HOTEL FOR MY INLAW SUPER SHERRY BIRTHDAY!!...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI, USIKOSE IJUMAA HII

Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUNTY LULU NDANI YA BIFU ZITO NA MAWIFI ZAKE

MWANADADA Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewajia juu mawifi zake ambao wamekuwa wakimtaka aachane na mpenzi wake wa sasaMwanadada Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.aitwaye Amani kwa maelezo kuwa hawamtaki na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPOKI 0 BRAIN...AZIDI KUCHAFUA HALI YA HEWA KILA KONA

 IMETHIBITIKA bila shaka yoyote kuwa msanii aliyebahatika kuwa maarufu wa vichekesho Bongo, Silvery Mjuni ‘Mpoki’ au Bepari la Kihaya ni mjinga yaani 0 brain kwa Kimombo. Msanii aliyebahatika kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVINA AKUNWA NA MHE. MKOSAMALI

MSANII wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ amekunwa na maneno ya Mheshimiwa Felix Mkosamali, Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma aliyoyatoa juzi bungeni ya kutaka serikali iweke mikakati madhubuti ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAYDAY /IJUMAA 16/05/2014 LIVE!!

BOFYA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA UTURUKI YATAKA KUMUUA MZEE MAJUTO

MSANII wa maigizo na filamu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ ameeleza kuwa, kwa furaha aliyonayo baada ya kupata safari ya kwenda Uturuki imemfanya ajisikie kufa kwani ni bahati ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimeteseka miaka 17, Watanzania nisaidieni"

Kijana Amos Ng’arare Sasi (21) mkazi wa kijiji cha Kizaru wilayani Musoma Vijijni  Kwa kipindi hiki kijana Amos, ambaye anatoka Kata ya Mryaza, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMETISHA SANA: KUFURU YA NDOA YA MSANII NA MBUNGE VICKY KAMATA NI HATARI...

HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI, ALILAMBA...

Solange (mbele kulia) baada ya kumpa kichapo shemeji yake Jay Z (wa tatu kushoto).JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi.Hoteli ya New York...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO YA TID - CHUMVINI

CHANZO: WWW.BONGOSOUND.COM

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>