MWANADADA Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewajia juu mawifi zake ambao wamekuwa wakimtaka aachane na mpenzi wake wa sasa
aitwaye Amani kwa maelezo kuwa hawamtaki na yeye amekuwa aking’ang’ania penzi.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunty Lulu alisema anawashangaa mawifi zake hao wanaoshadadia amuache mpenzi wake wakati hawajui anampa nini hadi kamganda.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunty Lulu alisema anawashangaa mawifi zake hao wanaoshadadia amuache mpenzi wake wakati hawajui anampa nini hadi kamganda.
“Mimi nawashangaa sana hao wanawake eti sijui ni mawifi, hivi wanajua nampa nini huyo kaka yao, wataongea sana na wala mimi sijamganda kama wanavyodhani, yeye ndiyo anashindwa kuniacha kutokana na mahaba ninayompa,” alisema Aunty Lulu.