$ 0 0 Hasheem Thabeet akiwa girlfriend wa Fox Sports Radio, Bee Anderson. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet. Hapa juu ni picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee Anderson