Hauwezi kumfanya Diamond Platnumz ashinde tuzo za BET….
Kwa kawaida kila Tuzo zinataratibu zake na njia zitakazowafanya watu washinde . Tuzo kama Oscar Awards au Grammy Awards hupata washindi kwa kutengeneza team ya wadau mbalimbali na kuiita Academy. Ndani...
View ArticleProducer Mtanzania anaedaiwa kuwa mpenzi mpya wa Nazizi aeleza jinsi...
Suala la 'nani ni mpenzi mpya wa Nazizi baada ya kuachana na mmewe' lilipata jibu pale ambapo mtayarishaji wa muziki wa Homeboyz records, mtanzania Hery Sappy alipotuma picha zilizojieleza kuwa yeye...
View ArticleLE MUTUS LEO KICHAMA ZAIDI DODOMA
Le Mutus With Dr. Emmanuel Nchimbi ndani ya kikao cha CCM Dodoma live Kidumu Chama Tawala live at Makao Makuu Dodoma the White House!
View ArticleMWILI WA MSANII ADAMU KUAMBIANA WAPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWAAJILI YA...
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu....Mwili wa...
View ArticleMCHUMBA WA HASHIM THABEET 'BEE ANDERSON' AKIWA NA MTOTO ALIEZAA NA HASHEEM...
Hasheem Thabeet akiwa girlfriend wa Fox Sports Radio, Bee Anderson. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet. Hapa juu ni picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee...
View ArticleALIYEMPA TUZO 6 DIAMOND PLATNUMZ HUYU HAPA
Prodyuza aliyempatia tuzo sita za Kili staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz ' kwa kutengeneza wimbo wa Number One, Sheddy Clever akiwa ndani ya Global TV Online. Kujua zaidi alichoongea,...
View ArticleMWALIMU MBURULAAA AMBAYE AMEKAMATWA KWA KUFANYA MAPENZ NA WANAFUNZI WAKE WA3...
Berkeley County, South Carolina teacher Ellen Niemiec is a poor excuse for a wife and school instructor.The 29-year old married mother of three was charged Thursday, May 8, with three counts of...
View ArticleMWIGIZAJI WA BONGO MOVIE "RIYAMA ALI APOROMOSHA MATUSI YA NDANI YA NGUO LIVE...
Kama ulikuw ahujui basi ngoja nikufahamishe yanayoendelea!! siku chache zilizopita Mwigizaji maarufu riyama ali alitajwa Kama Best actress katika shindano ilikuwa likiendeshwa hivi karibuni la kutoa...
View ArticleJAY -Z NA SOLANGE WAONDOA UKIMYA WASEMA UKOMVI WAO KWENYE LIFTI HAKUNA...
Hatimaye pande zote mbili wa Jay- Z na Solange wameondoa ukimwa baada ya video ya ugomvi wao ndani ya lifti kuwa hadharani kwa kusema hakuna wakulaumiwa kwani kila mmoja wetu alikuwa na makosa...
View ArticleAUNT EZEKIEL AFANYA KUFURU ILALA ATUNZA MILIONI MOJA NA USHEKHE KWENYE...
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji...
View Article(AUDIO): UNAAMBIWA VANESSA MDEE ANAMCHANGO MKUBWA KWA JINA LA DIAMOND KUTAJWA...
MSANII wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee(v – money) amefunguka kuwa yeye alikua miongoni mwa majaji waliopiga kura kwa ajili ya wasanii waliotajwa kwenye categories za tuzo za BET Awards 2014.Majaji hao...
View ArticleMajangazz Kijana Afia kaburini wakati akijaribu kufukua maiti
Maiti ya kijana huyo ikiwa imenasa kaburiniukio la ajabu na la kushangaza limetokea huko nchini Nigeria baada ya kijana mmoja kukutwa akiwa amekufa kaburini,kijana huyo alikumbwa na umauti wakati...
View ArticleRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RYWEYEMAMU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
View ArticleRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RYWEYEMAMU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
View ArticleMAJANGAZZZ WAZAZI WAISUSA MAITI YA MTOTO WAO.
Kijana Leonard Jorome Mwakanyamale,enzi za uhai wakeTofauti na desturi ya Kitanzania watu kuwa pamoja katika kipindi cha matatizo, wazazi wa marehemu, Leonard Jorome Mwakanyamale, wanadaiwa kususa...
View ArticleMchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na...
View Article