Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
Sehemu ya waombolezaji
Sehemu ya waombolezaji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kwenye mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu. Kushoto ni Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefua, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
Katekista aikongoza sala ya mazishi
Sehemu ya waombolezaji
Sehemu ya waombolezaji
Jeneza likiwa kaburini
Wazazi wa marehemu
Askari wa JWTZ wakishusha kaburini mwili wa mpiganaji mwenzao
Sehemu ya waombolezaji
Mama Isabella Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
Baba Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini
Dada wa marehemu akiweka udongo
Dada wa marehemu akiweka udongo
Majonzi ya kupoteza mpendwa
Wanafamilia wakiweka udongo
Waombolezaji wakisogea kuweka udongo kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
Meja Jenerali
Salva akipitia ratiba na wasifu wa Brian
Wanafamilia
Gwaride Maalumu likijiandaa kufanya zoezi la kuaga mwenzao kijeshi