Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DIAMOND PLATINUMZ, WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL NDANI YA PIPA KWENDA KWA MADIBA...!

$
0
0
Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards...

Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa....
KAMA BADO HUAMINI HUYU JAMAA ANATISHA.
INGIA HAPA UFUNGUKE

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>