Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA KALAMBO-RUKWA YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa Godfrey Sichona akikabidhi sare kwa mratibu wa Elimu wa Kata ya Legezamwendo ili zigawanywe kwa wanafunzi yatima na wanaoishi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE NI MREMBO, TAZAMA PICHA ZAKE HIZI UTADHANI HAJAWAHI KUZAA.

Hakuna mtu ambae hapendi kupendeza kila mtu anapenda kupendeza ila sasa tatizo linakuja pale unapotaka kupendeza raia wataukupokeaje mtaani hapo ndio kazi ipo maana wabongo nao hawachelewi kudis

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULINZI MKALI WA RAISI WA KENYA UHURU KENYATTA NI MATATA

Baada ya kuchafuka kwa hali ya usalama nchini Kenya kutokana na tishio la magaidi wa Al Shabaab sasa ulinzi unaomlinda raisi wa Kenya umeongezwa maradufu. Kila sehemu anayotembelea ulinzi umeongezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA NA MSEMAJI MKUU WA UVCCM TAIFA MH. PAUL...

Paul C. Makonda57 mins "Hatimae nimekamilisha mikutano na ziara yangu ktk jiji la Paris. Asante sana Mungu, Asante sana Serikali ya Ufaransa. Mwisho Asante watanzania wenzangu kwa kuwa nami ktk kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MAJANGAZ:- ONA RIHANNA SUPER MBURULAZZZZZ!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGAZZ MTOTO AUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI

Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani.KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII KALAPINA APATA TENDA YA KUSIMAMIA ULINZI NA USAFI KATIKA KITUO KIPYA...

STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.Siku ya jana Kalapina ameanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MUTUZ LIVE WITH MKURUGENZI MKUU WA MISS TANZANIA UNCLE LUNDENGA AT DAR...

Mkurugenzi Mkuu wa Miss Tanzania Uncle Lundenga with Le Big Show now at Tabata, Dar West Park Club for the matayarishozzz ya Mashindano ya Miss Tabata 2014 this Friday here at this venue!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDO MTANZANIA MREFU KULIKO WOTE TANZANIA ANAMZIDI...

Huyu ni Baraka kijana mrefu  kitanzaniaInasemekana ni kijana mrefu kuliko wote Tanzania. Kijana huyu (katikati pichani) ambaye anadhaniwa ni mrefu kuliko vijana wote Tanzania anaishi maeneo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA ON KIFO CHA MTOTO WA KWENYE BOX NA...

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-OK LEO WANANCHI WENGI SANA WAMEJITOKEZA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KUONA MWILI WA MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOX NA ALIYEFARIKI JUZI AKIAGWA KABLA YA KWENDA KUZIKWA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ:- TANESCO YAFUKUZA KAZI WAFANYAKAZI 7 KWA RUSHWA MOSHI LIVE!!

Mkurugenzi wa Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Martin Kasyanju ametangaza kuwafukuza kazi wafanyakazi 7 wa shirika hilo kwa kuomba rushwa ya Shillingi Millioni moja kwa mteja wa Shirika hilo huko Moshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA MPYA KUHUSU NYOKA ALIYEUWAWA ARUSHA LEO

 Mmiliki wa Nyumba aliyokutwa Nyoka mkubwa na kuuwawa na wananchi wa sakina leo  Hii ndiyo nyumba yake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO

MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho.Mwigizaji mwenye figa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATINUMZ, WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL NDANI YA PIPA KWENDA KWA...

Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards...Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchumba wa Kwanza wa Flora Mbasha Afunguka, Kumbe Nae Alibambikiziwa Skendo

Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni Mmiliki wa Mabasi ya Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMMY DIMPOZ ATOA KUFURU YA PESA CHEKI AMEVAA KIATU CHA PESA NDEFU

Huyu ndiye Ommy dimpoz a.k.a Poz kwa Poz, Siku chache zilizopicha Ommy alikuwa Nchini Uingereza akimsindikiza Rafiki yake Diamond Plat kwaajili ya kufanya Video yake na Iyanya. Kama ilivyo anda ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATINUMZ NI LEVEL NYINGINE SOMA HAPA

HUYU DIAMOND HUYU....DAAAH! ETI WANASEMA NANII MKALI ZAIDI YAKO, ACHANA NAO, HUYO NAMFANANISHA NA ARSENAL (KABLA YA KOMBE)Hebu niambie, unajisikia kumchukia mtu halafu anazidi kupata mafanikio? Moyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 10, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGAZ KIJANA ALIYETOWEKA APATIKANA AKIWA MSUKULE

Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye amepatikana huku akiwa katika hali ya kutisha bila kujitambua na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI KUTWAA TAJI LA MISS TABATA 2014 LEO

 Husna Ibrahim Evodia Mdemu Happiness Wilson Lightness Olomi  Fatma Hussein Marium Shwaib Ramta Mkadara Angela Kashaga Ambasia Maliy 10.Nuru Omary Mary Henry Najma Charles Faudhia Feka .Lydia Charle...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>