Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MFANYAKAZI WA IKULU MAREHEMU ERNESTI B. NGEREZA

$
0
0

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza,
aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa  6, 2014. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi  wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa  6, 2014. 


PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>