Gari la wasanii likiwa limebakiza km chache kufika mji wa Kahama kwa ajili ya tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii Shilole akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili redio Kahama kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii Rich Mavoko akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili redio Kahama kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii AY akiongea katika mahojiano na redio Kahama kuhusiana na tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Watagazaji wa redio Kahama wakifanya mahojiano wasanii (hawapo pichani) kuhusiana na Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii Shilole akiongea katika mahojiano na redio Kahama kuhusiana na tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii Rich Mavoko akiongea katika mahojiano na redio Kahama kuhusiana na tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 litakalofanyika leo Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014 wakiwasili katika hoteli kwa ajili ya mapumziko. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.