$ 0 0 Timu inayoundwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo wameina Nguvu na Wafanyakazi wa Banki ya Akiba hapa Dodoma katika Mchezo wa Kirafiki.Hadi Mpira Unamalizika Mechi imekwisha kwa Suruhu ya Bila Kufungana.Picha na Sanga Jr.