Ni Masaa machache kabla ya kuanza kwa tuzo za MTV MAMA Awards na Tayari Ommy Dimpoz , Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wameanza kujirekodi huku wakiimba nyimbo ya
“I Gotta feeling” ya Black eyed peas yenye mistari inayoashiria kumtakia ushindi Diamond Platnumz Usiku wa leo…Bofya hapa kuangalia video >>>>