" KIJANA ALIYE ASISI MAPINDUZI YA KIRAIA KTK NCHI ZA KIARABU NA KUONDOA SERIKALI DHALIMU, HAKUWA NI MTU MAARUFU, MWANASIASA, ALIKUWA MMACHINGA MWENYE SHAHADA MOJA TU ALIYEJIAJIRI KAMA MUUZA MBOGAMBOGA NA MATUNDA. SERIKALI YA TUNISIA ILIBOMOA BANDA LAKE NA KUITA UCHAFU. NA HAYA NDIO MAAMUZI ALIYOFANYA NA KUPELEKEA RAIA WOTE WAANDAMANE NA KUIPINDUA SERIKALI, NA HALI ILE ILIENDELEA LIBYA, MISRI, SYRIA. SISI VIJANA NI CHACHU YA MABADILIKO HUITAJI CHAMA WALA KUNDI LA WATU KULETA MABADILIKO. DAMU YAKE HAIKUPOTEA BURE.