Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

AIBU YA MWAKA: MSANII CHID BENZ AVUTA BANGI UKUMBINI, ATISHIA KUMPIGA DJ NA ATOROKA BILA KULIPIA CHUMBA CHA GUEST

$
0
0
Chide benzi
Hapo Chidi Benz akiwa kashikiwa bangi na Shabiki wake na kutoa kibiriti cha gesina kuiwasha kama unavyoona hapo

Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.
Wakati akiwa anafanya Show baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga...
Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii.

Chidi Benzi
Siku za Hivi karibuni Msanii huyo alifanya ndivyosivyo kwenye club moja Mjini Lindi pale alipotishia kumpiga shabiki wake pamoja na Dj. si Hivyo tu aliweza kutoroka Bila kulipa Malipo ya chumba alichofikia kwenye Lodge moja Mjini hapo na Kukimbia Alfajiri kukwepa kulipia Chumba Hicho.
chidi benzi
Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake.
CDT

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles