Msanii ‘kiwango’ wa filamu nchini Kulwa Kikumba ‘Dude’ amekanusha taarifa za kuwepo kwa imani za kishirikina katika misiba inayoikumba tasnia ya Filamu kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa.Dude amesema kuwa, katika vifo hivyo vya wasanii hakuna uchawi wowote unaohusika kama watu wengi wanavyosema ambapo amedai kuwa vifo hivyo vimekuwa vikishtusha sana watu kutokana na umaarufu wao.
↧