Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MAJANGAZ RAIS WA DUNIA ALIPOWAKIMBIA WALINZI WAKE NA KUJIRUSHA NA MIBAGA NA WANANCHI MTAANI LIVE!!

$
0
0
Raisi wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake.
Barack Obama aliwatoroka walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa ulinzi kwa muda mchache tu..ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama hilo kutokea…angalia kipande hiki cha video kikionyesha tukio>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>