LE MAJANGAZ RAIS WA DUNIA ALIPOWAKIMBIA WALINZI WAKE NA KUJIRUSHA NA MIBAGA...
Raisi wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake....
View ArticleBALOZI WETU UINGEREZA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUHUDHURIA MKUTANO WA...
Peter A. Kallaghe Silvertown, United Kingdom· You are warmly invited to the global launch of Nyerere: The early years (by Dr Thomas Molony, University of Edinburgh). Date: 17:30, 20th June 2014. Venue:...
View ArticleDIAMOND NA WEMA WAWEKWA KWENYE HEADLINES ZA MITANDAO HUKO NCHINI NIGERIA
Katika hali isiyo ya kawaida, sababu tulishazoea kuona Diamond na Wema Sepetu wakiwa wana-make headlines kwenye mitandao ya huku Tzee, hii ya sasa hivi mpya, sahz ni hadi huko nchini Nigeria wakizidi...
View ArticleBIFU LA WEMA NA KAJALA LAMALIZIKA, WEMA ATANGAZA RASMI KUPITIA AKAUNTI YAKE
Wemasepetu Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi...
View ArticleMTOTO WA R KELLY ATANGAZA KUJIBADILISHA JINSIA
Mtoto wa miaka 14 wa mwanamuziki mkongwe wa R&B wa nchini Marekani R Kelly ametangaza kubadilisha jinsia yake kupitia mitandao ya kijamii.Mtoto huyo aitwaye Jaya alizaliwa mwanamke lakini akachukua...
View ArticleTIMBULO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUTEMBEA NA MKE WA MTU
HII ni kali lakini haikuwahi kuandikwa, staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo alinusurika kuuawa baada ya kubainika kuwa anatembea na mke wa mtu na mumewe kumsaka kwa udi na uvumba akiwa na bastola...
View ArticleHOT PHOTOS, PICHA KALI ZA LEO NI ZA AUNT EZEKIEL NA WEMA SEPETU CHEKI HAPA...
Aunt Ezekiel Na Wema SepetuKatika Pozi jingine Ni Marafiki Wanaopendana Sana Aunt na WemaTabasamu Na Uzuri wao Vinachangia Pia Kwenye Uzuri na Muonekano Wa Picha zao..ama Kweli Wamebarikiwa... So...
View ArticleMSIBA WA GEORGE TYSON WAZUA MAKUBWA KENYA, UKO MOCHWARI MPAKA SASA NI SUKU YA...
KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini...
View ArticleCHECK VIDEO YA FLORA MBASHA AKIDHIBITISHA MUMEWE KUBAKA ,MIKE, DUDE NAO WATOA...
Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.WAIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike Sangu’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ wamelizungumzia tukio la mume wa mwimba Injili, Flora Emmanuel...
View ArticleMaskini Penny achungulia kaburi...pata undani kamili.
MTANGAZAJI wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa ugonjwa uliompiga juzikati ulikuwa ‘serious’ kiasi cha kuona ni Mungu tu amemwokoa.Mtangazaji wa maarufu wa runinga...
View ArticleHATIAMAYE ASEPA ZAKE HUYOOOO MASOGANGE AHAMIA SAUZI
VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo...
View ArticleFLASHBACK:- LE BIG SHOW HANGING OUT WITH THE FIRST FAMILY LEFT KIWADINYO +...
From Left!!:- Kiwadinyo + Le Big Show + Le Kamanda Miraj live at Mikochen Uptown Bongo!!
View Article"Almasi" MWENDO WA TALAKAKA ORCH. MATIMILA LA DR. REMMY WITH KASALOO KYANGA &...
Mkuu hapa ilikuwa mwaka 1980 mwishoni pale Mwananyamala Komakoma. Wakati huu wimbo unafanyiwa mazoezi pamoja na "Nalilia Mtoto" mimi nilikuwepo. Hapa Solo liliporomoshwa na Hamza Kalala aliyetokea Uda...
View ArticleKIONGOZI WA UKAWA JAMES MBATIA AKUWAKUBALI MAWAZIRI WA CCM WA FEDHA NA...
From Left:- Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima + Waziri wa Fedha Mh. Mukuya + Naibu Waziri wa Fedha Mh. Mwigulu live at Bunge Dodoma baada ya Kiongozi wa UKAWA kuikubali bajeti ya kareezzzz ya...
View Article