Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BIFU LA WEMA NA KAJALA LAMALIZIKA, WEMA ATANGAZA RASMI KUPITIA AKAUNTI YAKE

$
0
0

Wemasepetu Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyinginemnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi..

But chakushangaza Mlimbwende huyo wa Tanzania wa mwaka 2006 hakuweza kuweka picha ya shostito wake huyo kwenye hiyo post badala yake akaweka picha ya Shostito wake wa sasa Aunty Ezekiel ndio aliepamba post hiyo. Mmmmh je hapo unalionaje hilo? mdau.

Back to the Topic:: upande wa pili nao ulitoa shwangwe kwa kupost maneno haya::


kajalacelebrity2014 Hellow Africa!!!!I officially announce this#Finallyhakuna bifu wala chuki kati ya @new_kajala na@wemasepetu!!!Wameisha reconcile na kusolve differences zao, finally madam@wemasepetu ameweka wazi kwamba hana kinyongo tena shosti akeee Kay na hata Kajala amekubali kwamba hana bifu na madam, hizi ndo habari za ukweli kutoka kwa wahusika!!!!!Namalizia kwa kusema hivi," When destiny forgets to tie some people in blood relation...., it corrects that mistake by making them true friends!!!! @new_kajala @wemasepetu may God be with u!!!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles