Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.
WAIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike Sangu’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ wamelizungumzia tukio la mume wa mwimba Injili, Flora Emmanuel Mbasha kubaka na kudai wanashindwa kumuelewa aliyeshtaki. Wakizungumza na paparazi hivi karibuni, waigizaji hao walisema wametatizika na binti huyo kushtaki polisi kama alibakwa kweli.
“Yaani ni utata mtupu juu ya hili tukio, sasa hatuelewi kama kabaka kweli au la maana tuna wasiwasi kwa nini tukio hilo lirudie mara mbili bila makubaliano?” walishadadia mjadala huo mastaa hao.
Shemeji wa Emmanuel Mbasha aliyekuwa akiishi naye nyumbani kwake, Tabata-Kimanga jijini Dar, ambaye anadai kubakwa na Emmanuel Mbasha.
Mbasha anadaiwa kumbaka shemejie aliyekuwa akiishi naye nyumbani kwake, Tabata-Kimanga jijini Dar, mpaka sasa bado anasakwa na jeshi la polisi ili kujibu tuhuma hizo.
FLORA MBASHA AKIFUNGUKA KUHUSA SAKATA LA MUMEWE
CLICK HAPA CHINI UCHECK VIDEO YA FLORA AKIZUNGUMKA
CLICK HAPA CHINI UCHECK VIDEO YA FLORA AKIZUNGUMKA