VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea
Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’.
“Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy o maisha yangu yalipo namipango mingi ya kimaisha nafanikiwa ninapokuwa huku,” alisema Masogange.