Mkuu hapa ilikuwa mwaka 1980 mwishoni pale Mwananyamala Komakoma. Wakati huu wimbo unafanyiwa mazoezi pamoja na "Nalilia Mtoto" mimi nilikuwepo. Hapa Solo liliporomoshwa na Hamza Kalala aliyetokea Uda Jazz. Bass: Singa Wa Singa, Kinanda: Wille (William) Gama, Trumpets: Mawazo Hunja, Kulwa Milonge, Rythim: Makuka, Tumba: Zagalo Drums: Marehemu Baba Diana (Abou Semhando)....