Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZ:- TANZIA KATIBU MKUU WA YANGA AFARIKI DUNIA LEO SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

MPONDELA WA YANGA AFARIKI DUNIA

Katibu mkuu wa zamani wa Yanga, George Mpondela amefariki dunia.

Taarifa zinaeleza Mpondela aliyekuwa maarufu kama Castro amefariki dunia leo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Uongozi wa Yanga umedhibitisha kuhusu kifo cha Mpondela ingawa imeelezwa taarifa rasmi itatolewa na familia yake jijini Dar es Salaam ili watu wajue wapi ulipo msiba na taratibu za mazishi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>