Baada ya miezi tisa ya kubeba mimba, mwanamke ajifungua mjusi.
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto.Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho...
View ArticleLE MUTUZ LEO LIVE CHILLING AT THE HABARI BEACH HOTEL WITH MY SUPER SISTERS...
Le Big Show hitting the Beach at Bahari Beach leo live U know kiaina bongo ni ki-winter flani hivi and I love it!!Who? me worry? Worry what? ha! ha! ha! ha! ha! this is me love me or hate it does not...
View ArticleMBUNGE MTATA WA CCM KAPTENI JOHN KOMBA AWASHANGAA WALIOMCHAFUA NA PICHA FAKE...
"Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni kazi sana,"alisema Komba katika kipindi cha...
View ArticleANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
Mama Mzazi wa Kijina Mwanaidi Bi Jina akimpatia uji mtoto wake wakiwa katika wodi ya hospitali ya mnazi mmoja wakiendelea na Tiba baada ya kuhamishiwa hapo kutoka hospitali ya jeshi bububu, ili...
View ArticleCLOUDS FM WALIPOFANYA KWELI DODOMA ONA RAIS JK NA WASANII WAKAREEZZ WOTE WA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wasanii walioshiriki katika tamasha la Uzalendi na uzinduzi wa Video ya wimbo Maalum wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
View ArticlePICHA 100 DODOMA KWENYE KAMPENI YA "NAKUAMINIA-TANZANIA",UKAWAZ NAO...
Mama Maria Nyerere akiwa tayari kwa Tamasha la NAIAMINIATANZANIA hapa Dodoma,Kampeni hii itachukua Nchi Nzima kwaajili ya Kusambaza Upendo na Kutambua Umuhimu wa Kulinda na Kutetea Taifa la...
View ArticleHATIMAYE MICHAEL JORDAN AUNGANA NA ROSTAM AZIZ WA BONGO KWENYE AVENUE YA...
NBA: MICHAEL JORDAN SASA NI BILLIONAIRE Michael Jordan sasa ni billionaire...Jordan ambae alikuwa MVP mara 5 na aliwahi kushinda ligi ya NBA mara 6 bila kusahau medali 2 za dhahabu za Olympics sasa...
View ArticleTX JUNIOR, RECHO WANASWA POZI TATA
Stori: Shakoor JongoMWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’.Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma,...
View ArticleDUH MWANA FA ANA HALI NGUMU HUKO TWITTER! UMEONA JAMAA HUYU ALIVYOMTUKANA????...
hii alitumiwaMwanaFA Duniani kuna vituko jamani khaaaa, cha kumuandikia mtoto wa mwenzio hivi ni nini? hata kama humpendi jamani maisha yenyewe mafupi haya hujui nani anatangulia ila mie watu...
View ArticlePICHA KALI ZA MISS TANZANIA 2003/04.... NA HICHI NDICHO ANAKIFANYA KWA SASA
Huyu ni Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja....Unakumbuka enzi za OSHENI SANDO....na Video ya ZALI LA MENTALI....ilikuwa...
View ArticleKABANG!! AIBUU...JAQUELINE WOLPER ANASWA LIVE NA MUME WA MTU
KABANG! Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume...
View ArticleMBUNGE MTATA WA CCM AFRIKA MASHARIKI ALIPOMKUMBUKA BABA YAKE MZAZI SONA HAPA...
Shy-Rose Bhanji "#HappyFather'sDay#RIPDaddy— at Dodoma Airport."
View ArticleBREAKIN NEWZZ:- TANZIA KATIBU MKUU WA YANGA AFARIKI DUNIA LEO SOMA HAPA LIVE!!
MPONDELA WA YANGA AFARIKI DUNIA Katibu mkuu wa zamani wa Yanga, George Mpondela amefariki dunia.Taarifa zinaeleza Mpondela aliyekuwa maarufu kama Castro amefariki dunia leo kwenye Hospitali ya Taifa...
View Article