Mwanamuziki wa Nigeria aka NaijaCynthia Akudo Jonah maarufu kwa jina la Cynthomania or Ada Owerriamefariki dunia. Cynthomania hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya'Ukwu Ajebutter' na akiwa anajiandaa kutoa albamu yake ya kwanza umauti ukamfika. Rest In Peace Ada na kwa habari zaidi utazipata hapa hapa