Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SOMA KILE KINACHOENDELEA KATI YA WEMA NA JOKETI

$
0
0
Kama mnavyojua tena mashosti hawa hapo awali walikuwa katika BIFU la kuchukuliana bwana ambae ni Diamond....Hii ilitokea baada ya Wema kumshutumu Jokate kutembea na mpenzi wake Diamond  (Kabla Wema hajapigwa chini na Diamond)....Katika hali isiyotegemewa wawili hawa kumbe hawana tena kinyongo..na wapo SAWA.....Hehehhee...Hii imejidihilisha wazi hapo jana baaba ya Wema Ku-comment kwenye picha ya Jokate huko INSTAGRAM...Soma comment hiyo hapo juu..then utajuani nini hasa namaanisha... 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>