Waaaawwwoohh..ni umati haswaaa..kweli Diamond anapedwa
Diamond Platnuz kijana mdogo mwenye mafanikio katika mziki na kimaisha akiimba wimbo wa nimpende nani
V.I.P. table ilijumlishwa na viongozi mbalimbali,pichani ni mke wa Mh: wa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi bwana Kamala aliyevalia nguo ya mizungo miyeusi na miyeupe
Hapo sasa..Diamond Plutnumz akiendelea kukonga nyoyo za waliofika kumshughudia show yake
Sema naeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..!! warembo toka Tz wakishangilia show ya Diamond ikiendelea.
OOOooyoooooooooooh
Ooooooiiihhh!!! Ni peace n' Love toka kwa watoto wa nyumbani
Umati wa watu wakiendelea kupata burudani ya muziki toka kwa msanii Diamond Platnumz
Ngololo aai ngololo mama ngololo...... and show me how they do ngololo ngololo ni Saidi Biboze na dada yake Zuhra Biboze wakijiachia kwa raha zao.
(Picha zote na Maganga One Blogger)
(Picha zote na Maganga One Blogger)