Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MREMBO ALIYEKUNYUGWA NA CHID BENZI ATIMKIA SAUZI

$
0
0

MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda.


Mkali wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’,
Paparazi alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe hapa paparazi, alijibu kwa kifupi:
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
Aprili mwaka huu, Chid Benz alishtakiwa katika kituo cha Polisi cha Pangani, Ilala kwa kosa la kumshambulia Aisha ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>