Anaitwa AGATHA ATITI kutoka Uganda, anatangaza habari kwenye Televisheni ya NBS....Tabasamu na umbo lake linawafanya watazamaji wasibadili station...hehehehehe..Kwamujibu wa wadau wanesema huyu ndio mwenye muonekano mzuri zaidi kushisha watangazjiwa TV wate wakike hapa Afrika Mashariki...Kama yupo zaidi ya huyu nitajie....
↧